Wa 'Idhā Jā'at/hum 'Āyatun Qālū Lan Nu'umina Ĥattaá Nu'utaá Mithla Mā 'Ūtiya Rusulu Allāhi Allāhu 'A`lamu Ĥaythu Yaj`alu Risālatahu Sayuşību Al-Ladhīna 'Ajramū Şaghārun `Inda Allāhi Wa `Adhābun Shadīdun Bimā Kānū Yamkurūna (Al-'An`ām: 124). |
124. Na inapo wajia Ishara, wao husema: Hatutoamini mpaka tupewe mfano wa walio pewa Mitume wa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu ndiye Mjuzi kuliko wote kujua wapi anaweka ujumbe wake. Itawafikia hao walio kosa udhalili na adhabu kali kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya vitimbi walivyo kuwa wakivifanya. |