Wa 'Aqsamū Billāhi Jahda 'Aymānihim La'in Jā'at/hum 'Āyatun Layu'uminunna Bihā Qul 'Innamā Al-'Āyātu `Inda Allāhi Wa Mā Yush`irukum 'Annahā 'Idhā Jā'at Lā Yu'uminūna (Al-'An`ām: 109). |
109. Na waliapa kwa Mwenyezi Mungu kwa ukomo wa viapo vyao, kuwa ikiwafikia Ishara wataiamini. Sema: Ishara ziko kwa Mwenyezi Mungu. Na nyinyi hamjui kuwa zitapo kuja hawato amini. |