'Ūlā'ika Al-Ladhīna Hadaá Allāhu Fabihudāhum Aqtadihi Qul Lā 'As'alukum `Alayhi 'Ajrāan 'In Huwa 'Illā Dhikraá Lil`ālamīna (Al-'An`ām: 90). |
90. Hao ndio ambao Mwenyezi Mungu amewahidi. Basi fuata hidaya yao. Sema: Mimi sikuombeni ujira. Haya hayakuwa ila ni mawaidha kwa walimwengu wote. |