Wa Ĥājjahu Qawmuhu Qāla 'Atuĥājjūnī Fī Allāhi Wa Qad Hadānī Wa Lā 'Akhāfu Mā Tushrikūna Bihi 'Illā 'An Yashā'a Rabbī Shay'āan Wasi`a Rabbī Kulla Shay'in `Ilmāan 'Afalā Tatadhakkarūna (Al-'An`ām: 80). |
80. Na watu wake wakamhoji. Akasema: Je, mnanihoji juu ya Mwenyezi Mungu, na hali Yeye ameniongoa? Wala siogopi hao mnao washirikisha naye, ila Mola wangu Mlezi akipenda kitu. Mola wangu Mlezi amekusanya ilimu ya kila kitu. Basi je, hamkumbuki? |