Wa Huwa Al-Ladhī Khalaqa As-Samāwāti Wa Al-'Arđa Bil-Ĥaqqi Wa Yawma Yaqūlu Kun Fayakūnu Qawluhu Al-Ĥaqqu Wa Lahu Al-Mulku Yawma Yunfakhu Fī Aş-Şūri `Ālimu Al-Ghaybi Wa Ash-Shahādati Wa Huwa Al-Ĥakīmu Al-Khabīr (Al-'An`ām: 73). |
73. Naye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi kwa Haki. Na anaposema: Kuwa! Basi huwa. Kauli yake ni Haki. Na ufalme wote ni wake Siku litapo pulizwa barugumu, Mjuzi wa yaliyo fichikana na yanayo onekana. Naye ndiye Mwenye hikima na Mwenye khabari. |