Qul 'Ara'aytakum 'In 'Atākum `Adhābu Allāhi 'Aw 'Atatkum As-Sā`atu 'Aghayra Allāhi Tad`ūna 'In Kuntum Şādiqīna (Al-'An`ām: 40). |
40. Sema: Mwaonaje ikikujieni adhabu ya Mwenyezi Mungu, au ikakufikieni hiyo Saa - mtamwomba asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi ni wakweli? |