Wa Al-Ladhīna Kadhdhabū Bi'āyātinā Şummun Wa Bukmun Fī Až-Žulumāti Man Yasha' Allāhu Yuđlilhu Wa Man Yasha' Yaj`alhu `Alaá Şirāţin Mustaqīmin (Al-'An`ām: 39). |
39. Na walio kanusha Ishara zetu ni viziwi na mabubu waliomo gizani. Mwenyezi Mungu humwachia kupotea amtakaye, na humweka katika Njia iliyo nyooka amtakaye. |