Huwa Al-Ladhī Khalaqakum Min Ţīnin Thumma Qađaá 'Ajalāan Wa 'Ajalun Musamman `Indahu Thumma 'Antum Tamtarūna (Al-'An`ām: 2). |
2. Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka. |