Yawma Yajma`u Allāhu Ar-Rusula Fayaqūlu Mādhā 'Ujibtum Qālū Lā `Ilma Lanā 'Innaka 'Anta `Allāmu Al-Ghuyūbi (Al-Mā'idah: 109). |
109. Ile siku ambayo Mwenyezi Mungu atapo wakusanya Mitume awaambie: Mlijibiwa nini? Watasema: Hatuna ujuzi; hakika Wewe ndiye Mjuzi Mkubwa wa yote yaliyo fichikana. |