Wa 'Idhā Sami`ū Mā 'Unzila 'Ilaá Ar-Rasūli Taraá 'A`yunahum Tafīđu Mina Ad-Dam`i Mimmā `Arafū Mina Al-Ĥaqqi Yaqūlūna Rabbanā 'Āmannā Fāktubnā Ma`a Ash-Shāhidīna (Al-Mā'idah: 83). |
83. NA WANAPO SIKIA yaliyo teremshwa kwa Mtume utaona macho yao yanachururika machozi kwa sababu ya Haki waliyo itambua. Wanasema: Mola wetu Mlezi! Tumeamini. Basi tuandike pamoja na wanao shuhudia. |