Taraá Kathīrāan Minhum Yatawallawna Al-Ladhīna Kafarū Labi'sa Mā Qaddamat Lahum 'Anfusuhum 'An Sakhiţa Allāhu `Alayhim Wa Fī Al-`Adhābi Hum Khālidūna (Al-Mā'idah: 80). |
80. Utawaona wengi wao wanafanya urafiki na walio kufuru. Hakika ni maovu yaliyo tangulizwa na nafsi zao hata Mwenyezi Mungu amewakasirikia, nao watadumu katika adhabu. |