Laqad 'Akhadhnā Mīthāqa Banī 'Isrā'īla Wa 'Arsalnā 'Ilayhim Rusulāan Kullamā Jā'ahum Rasūlun Bimā Lā Tahwaá 'Anfusuhum Farīqāan Kadhdhabū Wa Farīqāan Yaqtulūna (Al-Mā'idah: 70). |
70. Tulifanya agano na Wana wa Israili, na tukawatumia Mitume. Kila alipo wajia Mtume kwa wasio yapenda nafsi zao wengine waliwakanusha na wengine wakawauwa. |