Wa Taraá Kathīrāan Minhum Yusāri`ūna Fī Al-'Ithmi Wa Al-`Udwāni Wa 'Aklihim As-Suĥta Labi'sa Mā Kānū Ya`malūna (Al-Mā'idah: 62). |
62. Na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu. Ni maovu mno hayo wayatendayo! |