Wa Yaqūlu Al-Ladhīna 'Āmanū 'Ahā'uulā' Al-Ladhīna 'Aqsamū Billāhi Jahda 'Aymānihim 'Innahum Lama`akum Ĥabiţat 'A`māluhum Fa'aşbaĥū Khāsirīna (Al-Mā'idah: 53). |
53. Na walio amini watasema: Hivyo hawa ndio wale walio apa ukomo wa viapo vyao kuwa wao wa pamoja nanyi? Vitendo vyao vitapotea bure, na wataamkia kuwa wenye kukhasirika. |