Yahdī Bihi Allāhu Man Attaba`a Riđwānahu Subula As-Salāmi Wa Yukhrijuhum Mina Až-Žulumāti 'Ilaá An-Nūr Bi'idhnihi Wa Yahdīhim 'Ilaá Şirāţin Mustaqīmin (Al-Mā'idah: 16). |
16. Mwenyezi Mungu huwaongoa wenye kufuata radhi yake katika njia za salama, na huwatoa katika giza kuwapeleka kwenye nuru kwa amri yake, na huwaongoa kwenye njia iliyo nyooka. |