Lan Yastankifa Al-Masīĥu 'An Yakūna `Abdāan Lillāhi Wa Lā Al-Malā'ikatu Al-Muqarrabūna Wa Man Yastankif `An `Ibādatihi Wa Yastakbir Fasayaĥshuruhum 'Ilayhi Jamī`āan (An-Nisā': 172). |
| 172. Masihi hataona uvunjifu kuwa mtumwa wa Mwenyezi Mungu, wala Malaika walio karibishwa. Na watakao ona uvunjifu utumwa wa Mwenyezi Mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake. |