Yā 'Ayyuhā An-Nāsu Qad Jā'akum Ar-Rasūlu Bil-Ĥaqqi Min Rabbikum Fa'āminū Khayrāan Lakum Wa 'In Takfurū Fa'inna Lillāhi Mā Fī As-Samāwāti Wa Al-'Arđi Wa Kāna Allāhu `Alīmāan Ĥakīmāan (An-Nisā': 170). |
170. Enyi Watu! Amekwisha kujieni Mtume huyu na haki itokayo kwa Mola wenu Mlezi. Basi aminini, ndiyo kheri yenu. Na mkikakanusha basi hakika viliomo mbinguni na duniani ni vya Mwenyezi Mungu tu. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima. |