Lākin Allāhu Yash/hadu Bimā 'Anzala 'Ilayka 'Anzalahu Bi`ilmihi Wa Al-Malā'ikatu Yash/hadūna Wa Kafaá Billāhi Shahīdāan (An-Nisā': 166). |
166. Lakini Mwenyezi Mungu anayashuhudia aliyo kuteremshia wewe. Ameyateremsha kwa kujua kwake - na Malaika pia wanashuhudia. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi. |