Yā 'Ayyuhā Al-Ladhīna 'Āmanū Kūnū Qawwāmīna Bil-Qisţi Shuhadā'a Lillāhi Wa Law `Alaá 'Anfusikum 'Aw Al-Wālidayni Wa Al-'Aqrabīna 'In Yakun Ghanīyāan 'Aw Faqīrāan Fa-Allāhu 'Awlaá Bihimā Falā Tattabi`ū Al-Hawaá 'An Ta`dilū Wa 'In Talwū 'Aw Tu`riđū Fa'inna Allāha Kāna Bimā Ta`malūna Khabīrāan (An-Nisā': 135). |
135. Enyi mlio amini! Kuweni wenye kusimamisha uadilifu, mtowao ushahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, ijapo kuwa ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu. Akiwa tajiri au masikini Mwenyezi Mungu anawastahikia zaidi. Basi msifuate matamanio, mkaacha kufanya uadilifu. Na mkiupotoa au mkajitenga nao basi Mwenyezi Mungu anajua vyema mnayo yatenda. |