Wa Lan Tastaţī`ū 'An Ta`dilū Bayna An-Nisā' Wa Law Ĥaraştum Falā Tamīlū Kulla Al-Mayli Fatadharūhā Kālmu`allaqati Wa 'In Tuşliĥū Wa Tattaqū Fa'inna Allāha Kāna Ghafūrāan Raĥīmāan (An-Nisā': 129). |
129. Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa. Na mkisikizana na mkamchamngu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu. |