Wa Man 'Aĥsanu Dīnāan Mimman 'Aslama Wajhahu Lillāhi Wa Huwa Muĥsinun Wa Attaba`a Millata 'Ibrāhīma Ĥanīfāan Wa Attakhadha Allāhu 'Ibrāhīma Khalīlāan (An-Nisā': 125). |
125. Na nani aliye bora kwa dini kuliko yule aliye usilimisha uso wake kwa Mwenyezi Mungu, naye akawa mwema, na anafuata mila ya Ibrahim mwongofu? Na Mwenyezi Mungu alimfanya Ibrahim kuwa ni rafiki mwendani. |