Wa Man Yushāqiq Ar-Rasūla Min Ba`di Mā Tabayyana Lahu Al-Hudaá Wa Yattabi` Ghayra Sabīli Al-Mu'uminīna Nuwallihi Mā Tawallaá Wa Nuşlihi Jahannama Wa Sā'at Maşīrāan (An-Nisā': 115). |
115. Na anaye mpinga Mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, na akafuata njia isiyo kuwa ya Waumini, tutamuelekeza aliko elekea, na tutamuingiza katika Jahannamu. Na hayo ni marejeo maovu. |