Wa Man Ya`mal Sū'āan 'Aw Yažlim Nafsahu Thumma Yastaghfir Allāha Yajid Allāha Ghafūrāan Raĥīmāan (An-Nisā': 110). |
110. Na anaye tenda uovu au akajidhulumu nafsi yake, kisha akaomba maghfira kwa Mwenyezi Mungu, atamkuta Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira, Mwenye kurehemu. |