Wa Lā Tahinū Fī Abtighā'i Al-Qawmi 'In Takūnū Ta'lamūna Fa'innahum Ya'lamūna Kamā Ta'lamūna Wa Tarjūna Mina Allāhi Mā Lā Yarjūna Wa Kāna Allāhu `Alīmāan Ĥakīmāan (An-Nisā': 104). |
104. Wala msifanye ulegevu kuwafukuzia kaumu ya maadui. Ikiwa mnaumia, basi nao pia wanaumia kama mnavyo umia nyinyi. Nanyi mnataraji kwa Mwenyezi Mungu wasio yataraji wao. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima. |