'Illā Al-Ladhīna Yaşilūna 'Ilaá Qawmin Baynakum Wa Baynahum Mīthāqun 'Aw Jā'ūkum Ĥaşirat Şudūruhum 'An Yuqātilūkum 'Aw Yuqātilū Qawmahum Wa Law Shā'a Allāhu Lasallaţahum `Alaykum Falaqātalūkum Fa'in A`tazalūkum Falam Yuqātilūkum Wa 'Alqaw 'Ilaykum As-Salama Famā Ja`ala Allāhu Lakum `Alayhim Sabīlāan (An-Nisā': 90). |
90. Isipokuwa wale walio fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu na wao, au wanakujieni na vifua vyao vina dhiki kupigana nanyi, au kupigana na watu wao. Na lau angeli penda Mwenyezi Mungu angeli wasaliti juu yenu wakapigana nanyi. Basi wakijitenga nanyi, wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia kupigana nao. |