Allāhu Lā 'Ilāha 'Illā Huwa Layajma`annakum 'Ilaá Yawmi Al-Qiyāmati Lā Rayba Fīhi Wa Man 'Aşdaqu Mina Allāhi Ĥadīthāan (An-Nisā': 87). |
87. Mwenyezi Mungu, hapana mungu isipo kuwa Yeye. Kwa yakini atakukusanyeni Siku ya Kiyama. Halina shaka hilo. Na ni nani msema kweli kuliko Mwenyezi Mungu? |