Mā 'Aşābaka Min Ĥasanatin Famina Allāhi Wa Mā 'Aşābaka Min Sayyi'atin Famin Nafsika Wa 'Arsalnāka Lilnnāsi Rasūlāan Wa Kafaá Billāhi Shahīdāan (An-Nisā': 79). |
79. Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha. |