'Aynamā Takūnū Yudrikkum Al-Mawtu Wa Law Kuntum Fī Burūjin Mushayyadatin Wa 'In Tuşibhum Ĥasanatun Yaqūlū Hadhihi Min `Indi Allāhi Wa 'In Tuşibhum Sayyi'atun Yaqūlū Hadhihi Min `Indika Qul Kullun Min `Indi Allāhi Famāli Hā'uulā' Al-Qawmi Lā Yakādūna Yafqahūna Ĥadīthāan (An-Nisā': 78). |
78. Popote mlipo mauti yatakufikieni, na hata mkiwa katika ngome zilizo na nguvu. Na likiwafikilia jema wanasema: Hili limetoka kwa Mwenyezi Mungu. Na likiwafikilia ovu wanasema: Hili limetoka kwako wewe. Sema: Yote yanatokana na Mwenyezi Mungu. Basi wana nini watu hawa hata hawakaribii kufahamu maneno? |