Wa 'Inna Minkum Laman Layubaţţi'anna Fa'in 'Aşābatkum Muşībatun Qāla Qad 'An`ama Allāhu `Alayya 'Idh Lam 'Akun Ma`ahum Shahīdāan (An-Nisā': 72). |
72. Na yupo kati yenu anaye bakia nyuma; na ukikusibuni msiba husema: Mwenyezi Mungu kanifanyia kheri sikuwa nao. |