'Inna Al-Ladhīna Kafarū Bi'āyātinā Sawfa Nuşlīhim Nārāan Kullamā Nađijat Julūduhum Baddalnāhum Julūdāan Ghayrahā Liyadhūqū Al-`Adhāba 'Inna Allāha Kāna `Azīzāan Ĥakīmāan (An-Nisā': 56). |
56. Hakika wale walio zikataa Ishara zetu tutawaingiza Motoni. Kila zitapo wiva ngozi zao tutawabadilishia ngozi nyengine ili waionje hiyo adhabu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima. |