Yawma'idhin Yawaddu Al-Ladhīna Kafarū Wa `Aşaw Ar-Rasūla Law Tusawwaá Bihim Al-'Arđu Wa Lā Yaktumūna Allāha Ĥadīthāan (An-Nisā': 42). |
42. Siku hiyo walio kufuru na wakamuasi Mtume watatamani ardhi isawazishwe juu yao. Wala hawataweza kumficha Mwenyezi Mungu neno lolote. |