Kullu Nafsin Dhā'iqatu Al-Mawti Wa 'Innamā Tuwaffawna 'Ujūrakum Yawma Al-Qiyāmati Faman Zuĥziĥa `An An-Nāri Wa 'Udkhila Al-Jannata Faqad Fāza Wa Mā Al-Ĥayāatu Ad-Dunyā 'Illā Matā`u Al-Ghurūri ('āli `Imrān: 185). |
| 185. Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu. |