Al-Ladhīna Qālū 'Inna Allāha `Ahida 'Ilaynā 'Allā Nu'umina Lirasūlin Ĥattaá Ya'tiyanā Biqurbānin Ta'kuluhu An-Nāru Qul Qad Jā'akum Rusulun Min Qablī Bil-Bayyināti Wa Bial-Ladhī Qultum Falima Qataltumūhum 'In Kuntum Şādiqīna ('āli `Imrān: 183). |
| 183. Walio sema: Mwenyezi Mungu ametuahidi tusimuamini Mtume yeyote mpaka atuletee kafara inayo teketezwa na moto. Waambie: Walikujieni Mitume kabla yangu kwa hoja zilizo wazi na kwa hayo mnayo sema, basi kwa nini mkawauwa ikiwa mlikuwa wakweli? |