Wa Lā Yaĥzunka Al-Ladhīna Yusāri`ūna Fī Al-Kufri 'Innahum Lan Yađurrū Allāha Shay'āan Yurīdu Allāhu 'Allā Yaj`ala Lahum Ĥažžāan Fī Al-'Ākhirati Wa Lahum `Adhābun `Ažīmun ('āli `Imrān: 176). |
| 176. Wala wasikuhuzunishe wale wanao kimbilia ukafirini. Hakika hao hawamdhuru kitu Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anataka asiwawekee sehemu yoyote katika Akhera, na yao wao adhabu kubwa. |