Al-Ladhīna Astajābū Lillāhi Wa Ar-Rasūli Min Ba`di Mā 'Aşābahum Al-Qarĥu Lilladhīna 'Aĥsanū Minhum Wa Attaqaw 'Ajrun `Ažīmun ('āli `Imrān: 172). |
| 172. Walio mwitikia Mwenyezi Mungu na Mtume baada ya kwisha patwa na majaraha - kwa walio fanya wema miongoni mwao na wakamchamngu utakuwa ujira mkubwa - |