Al-Ladhīna Qālū Li'khwānihim Wa Qa`adū Law 'Aţā`ūnā Mā Qutilū Qul Fādra'ū `An 'Anfusikum Al-Mawta 'In Kuntum Şādiqīna ('āli `Imrān: 168). |
| 168. Hao ndio walio waambia ndugu zao na wao wenyewe wakakaa kitako: Lau wengeli tut'ii wasingeli uliwa. Sema: Ziondoleeni nafsi zenu mauti kama mnasema kweli. |