'Awalammā 'Aşābatkum Muşībatun Qad 'Aşabtum Mithlayhā Qultum 'Annaá Hādhā Qul Huwa Min `Indi 'Anfusikum 'Inna Allāha `Alaá Kulli Shay'in Qadīrun ('āli `Imrān: 165). |
| 165. Nyinyi - ulipo kusibuni msiba ambao nyinyi mmekwisha watia mara mbili mfano wa huo - mnasema: Umetoka wapi huu? Sema: Huo umetoka kwenu wenyewe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza juu ya kila kitu. |