Wa Mā Kāna Linabīyin 'An Yaghulla Wa Man Yaghlul Ya'ti Bimā Ghalla Yawma Al-Qiyāmati Thumma Tuwaffaá Kullu Nafsin Mā Kasabat Wa Hum Lā Yužlamūna ('āli `Imrān: 161). |
| 161. Na haiwezekani kwa Nabii yeyote kufanya khiyana. Na atakaye fanya khiyana, atayaleta Siku ya Kiyama aliyo yafanyia khiyana, kisha kila mtu atalipwa kwa aliyo yachuma, kwa ukamilifu; wala hawatadhulumiwa. |