'In Yamsaskum Qarĥun Faqad Massa Al-Qawma Qarĥun Mithluhu Wa Tilka Al-'Ayyāmu Nudāwiluhā Bayna An-Nāsi Wa Liya`lama Allāhu Al-Ladhīna 'Āmanū Wa Yattakhidha Minkum Shuhadā'a Wa Allāhu Lā Yuĥibbu Až-Žālimīna ('āli `Imrān: 140). |
| 140. Kama yamekupateni majaraha, basi na hao watu wengine yamewapata majaraha mfano wa haya. Na siku za namna hii tunaweletea watu kwa zamu, ili Mwenyezi Mungu awapambanue walio amini na awateuwe miongoni mwenu mashahidi. Na Mwenyezi Mungu hawapendi madhaalimu; |