Kuntum Khayra 'Ummatin 'Ukhrijat Lilnnāsi Ta'murūna Bil-Ma`rūfi Wa Tanhawna `An Al-Munkari Wa Tu'uminūna Billāhi Wa Law 'Āmana 'Ahlu Al-Kitābi Lakāna Khayrāan Lahum Minhum Al-Mu'uminūna Wa 'Aktharuhum Al-Fāsiqūna ('āli `Imrān: 110). |
| 110. Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu, na mnamuamini Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa Watu wa Kitabu nao wameamini ingeli kuwa bora kwao. Wapo miongoni mwao waumini, lakini wengi wao wapotovu. |