Wa Lā Takūnū Kālladhīna Tafarraqū Wa Akhtalafū Min Ba`di Mā Jā'ahum Al-Bayyinātu Wa 'Ūlā'ika Lahum `Adhābun `Ažīmun ('āli `Imrān: 105). |
| 105. Wala msiwe kama wale walio farikiana na kukhitalifiana baada ya kuwafikia hoja zilizo wazi. Na hao ndio watakao kuwa na adhabu kubwa. |