Wa Kayfa Takfurūna Wa 'Antum Tutlaá `Alaykum 'Āyātu Allāhi Wa Fīkum Rasūluhu Wa Man Ya`taşim Billāhi Faqad Hudiya 'Ilaá Şirāţin Mustaqīmin ('āli `Imrān: 101). |
101. Na vipi mkufuru hali nyinyi mnasomewa Aya za Mwenyezi Mungu na Mtume yuko kati yenu? Na mwenye kushikamana na Mwenyezi Mungu basi huyo ameongozwa kwenye Njia Iliyo Nyooka. |