Qul Yā 'Ahla Al-Kitābi Lima Takfurūna Bi'āyāti Allāhi Wa Allāhu Shahīdun `Alaá Mā Ta`malūna ('āli `Imrān: 98). |
98. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Kwa nini mnakanusha ishara za Mwenyezi Mungu, na ilhali kuwa Mwenyezi Mungu ni Shahidi kwa yote mnayo yatenda? |