Fīhi 'Āyātun Bayyinātun Maqāmu 'Ibrāhīma Wa Man Dakhalahu Kāna 'Āmināan Wa Lillahi `Alaá An-Nāsi Ĥijju Al-Bayti Man Astaţā`a 'Ilayhi Sabīlāan Wa Man Kafara Fa'inna Allāha Ghanīyun `An Al-`Ālamīna ('āli `Imrān: 97). |
97. Ndani yake zipo Ishara zilizo wazi - masimamio ya Ibrahim, na mwenye kuingia humo anakuwa katika amani. Na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo, kwa yule awezae njia ya kwendea. Na atakaye kanusha basi Mwenyezi Mungu si mhitaji kwa walimwengu. |