Kullu Aţ-Ţa`āmi Kāna Ĥillāan Libanī 'Isrā'īla 'Illā Mā Ĥarrama 'Isrā'īlu `Alaá Nafsihi Min Qabli 'An Tunazzala At-Tawrāatu Qul Fa'tū Bit-Tawrāati Fātlūhā 'In Kuntum Şādiqīna ('āli `Imrān: 93). |
93. Kila chakula kilikuwa halali kwa Wana wa Israili isipo kuwa alicho jizuilia Israili mwenyewe kabla haijateremshwa Taurati. Sema: Leteni Taurati muisome ikiwa nyinyi ni wasema kweli. |