Lan Tanālū Al-Birra Ĥattaá Tunfiqū Mimmā Tuĥibbūna Wa Mā Tunfiqū Min Shay'in Fa'inna Allāha Bihi `Alīmun ('āli `Imrān: 92). |
92. KABISA HAMTAFIKIA wema mpaka mtoe katika vile mnavyo vipenda. Na kitu chochote mnacho kitoa basi hakika Mwenyezi Mungu anakijua. |