Kayfa Yahdī Allāhu Qawmāan Kafarū Ba`da 'Īmānihim Wa Shahidū 'Anna Ar-Rasūla Ĥaqqun Wa Jā'ahum Al-Bayyinātu Wa Allāhu Lā Yahdī Al-Qawma Až-Žālimīna ('āli `Imrān: 86). |
86.Mwenyezi Mungu atawaongoaje watu walio kufuru baada ya kuamini kwao, na wakashuhudia ya kuwa Mtume huyu ni wa haki, na zikawafikia hoja zilizo wazi? Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. |