'Inna Hādhā Lahuwa Al-Qaşaşu Al-Ĥaqqu Wa Mā Min 'Ilahin 'Illā Allāhu Wa 'Inna Allāha Lahuwa Al-`Azīzu Al-Ĥakīmu ('āli `Imrān: 62). |
62. Hakika haya ndiyo maelezo ya kweli. Na hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu tu, na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye nguvu na Mwenye hikima. |