Qālat Rabbi 'Annaá Yakūnu Lī Waladun Wa Lam Yamsasnī Basharun Qāla Kadhāliki Allāhu Yakhluqu Mā Yashā'u 'Idhā Qađaá 'Amrāan Fa'innamā Yaqūlu Lahu Kun Fayakūnu ('āli `Imrān: 47). |
47. Maryamu akasema: Mola wangu Mlezi! Vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapo hukumu jambo, huliambia: Kuwa! Likawa. |