Qāla Rabbi 'Annaá Yakūnu Lī Ghulāmun Wa Qad Balaghanī Al-Kibaru Wa Amra'atī `Āqirun Qāla Kadhālika Allāhu Yaf`alu Mā Yashā'u ('āli `Imrān: 40). |
40. Akasema Zakariya: Mola wangu Mlezi! Vipi nitapata mwana na hali ukongwe umenifikia, na mke wangu ni tasa? Akasema: Ndivyo vivyo hivyo, Mwenyezi Mungu hufanya apendavyo. |